Man United imeongeza kasi ya kutaka kumsajili mshambuliaji wa Mali El Bilal Toure, 23, ambaye kwa sasa yuko kwa mkopo Stuttgart kutoka Atalanta. (TeamTalks), Tottenham Hotspur wanaonekana kuwa ...
Mpango kabambe wa kutoa chanjo kwa mifugo yote nchini Kenya unatarajiwa kuanza wiki hii huku kukiwa na upinzani mkali kutoka kwa wafugaji ambao unasukumwa na madai ya kupotosha kuhusu chanjo hizo.