Waasi wa vuguvugu la M23 wanasema wameudhibiti mji wa Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Wakazi walisambaza video za waasi wa M23 wakishika doria katika mitaa mikuu ya Goma ...