Wajumbe 84 wa mkutano mkuu wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), wamemchagua, Richard Lyimo kuwa Mwenyekiti wa chama ...
Staa wa Manchester United Marcus Rashford, anatarajiwa muda wowote kuanzia sasa kufanya vipimo vya afya ili kujiunga na Aston ...
Miaka ya hivi karibuni bibi na babu wamekuwa wakikwepa kuishi na wajukuu, huku baadhi ya sababu zikitajwa ni maisha kuwa ...
Sektretarieti ya ajira imetangaza majina 122 kuingia katika ajira mpya serikalini jana Februari Mosi 2025. Kwa jumla maswali ...
MANCHESTER City inasema huko kwenu Erling Haaland atakabwa na nani...Arsenal inajibu huku kwetu yupo Gabriel Magalhaes haachi ...
Kwa kawaida, popote haiba mbili tofauti zinapogongana lazima mgogoro hutokea, ingawa hali hii inaweza kupunguzwa au hata ...
Kuna kisa cha mwanandoa Gilombo. Gilo hakujaliwa sura wala tabia nzuri. Alikuwa mzinzi wa kutisha aliyelazimisha ndoa kwa ...
Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) limesema askari wake wawili wamefariki dunia na wengine wanne wamejeruhiwa wakitekeleza majukumu ya ulinzi wa amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia Congo.
Leo Februari 2, 2025 zinatarajiwa kugawiwa tuzo za Grammy ambazo zitakuwa za 67 kufanyika tangu kuanzishwa kwake Mei 4, 1959. Wakati baadhi ya vinara wakisubiriwa kuandika historia leo ...
Rais Donald Trump wa Marekani amesema aliagiza mashambulizi ya anga ya kijeshi dhidi ya mpangaji mkuu wa mashambulizi na wanachama wengine wa kundi la kigaidi la ISIS nchini Somalia.
Ndani ya siku chache tu tangu kuundwa kwa M23, mapigano makali yalizuka kati ya jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na waasi wa M23 katika wilaya ya Rutshuru.
Kauli hiyo wameitoa leo Februari Mosi, 2025 katika baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe robo ya pili ...