Ndani ya siku chache tu tangu kuundwa kwa M23, mapigano makali yalizuka kati ya jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na waasi wa M23 katika wilaya ya Rutshuru.
MECHI 23 tu zimetosha kwa Simba kuamini kiungo wake fundi Jean Charles Ahoua ni mali inayotakiwa kulindwa ipasavyo na kuendelea kuvaa jezi ya timu hiyo.