Kaimu Jaji Mfawidhi Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Morogoro, Amir Mruma amesema wananchi wengi hawajui haki zao katika kupata huduma muhimu ikiwemo umeme na maji.
Beki wa Simba Shomary Kapombe amefunga bao la tatu kwanye ligi msimu huu baada ya kuiongoza timu hiyo kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Tabora United, huku timu hiyo ikirejea kileleni ...
Jeshi la Polisi mkoani hapa, limezuia kuzikwa kwa miili ya watu watatu wanaodaiwa kufariki kwa kunywa pombe yenye sumu, hadi ...
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limetoa tahadhari za kimazingira na namna watu wanavyoweza ...
Tanzania imetajwa kushika nafasi ya tatu ndani ya Bara la Afrika kwa kuingiza nguo za mitumba katika mwaka 2022, ripoti ya ...
Nchi ya Rwanda imekanusha taarifa iliyodai kutolewa na mkutano wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), kuhusu ...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla amesema chama hicho hakikubadili gia angani kwa ...
Jumla ya watu 23,850 wanaoishi na VVU (Waviu) walifika katika vituo vya kutolea huduma za afya nchini wakiwa katika hatua za juu za ugonjwa wa VVU na Ukimwi katika kipindi cha miezi sita, ...
Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) limesema askari wake wawili wamefariki dunia na wengine wanne wamejeruhiwa wakitekeleza majukumu ya ulinzi wa amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia Congo.
Leo Februari 2, 2025 zinatarajiwa kugawiwa tuzo za Grammy ambazo zitakuwa za 67 kufanyika tangu kuanzishwa kwake Mei 4, 1959. Wakati baadhi ya vinara wakisubiriwa kuandika historia leo ...
Rais Donald Trump wa Marekani amesema aliagiza mashambulizi ya anga ya kijeshi dhidi ya mpangaji mkuu wa mashambulizi na wanachama wengine wa kundi la kigaidi la ISIS nchini Somalia.
Wajumbe 84 wa mkutano mkuu wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), wamemchagua, Richard Lyimo kuwa Mwenyekiti wa chama ...